TWITTER API HACKED: Mamillion ya data za watumiaji wa twitter yanauzwa

TWITTER API HACKED: Mamillion ya data za watumiaji wa twitter yanauzwa

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses.....

Musk alikosea sana kufukuza fukuza watu hovyo, mm shabiki yake lkn kwa hilo alikosea, makampuni mengi yamefanya layoff ila yanaenda polepole sio kwa speed ya kufukuza watu wengi kiasi kile.

Sasa watu wamedukua twitter masaa mawili yalopita, data za zaidi ya watumiaji million 400 zinauzwa huko breached.vc

Soma zaidi hapa

IMG_20221225_153057.jpg
 
Ukiona hivi ishauzwa sana, hapo utakuta huyo mwenyewe anayeuza kauziwa anataka na yeye apige faida.

Mwezi wote huu info za Twitter zinaleak ila kwa kiasi kidogo kama Milioni kadhaa.

Active user Twitter inao around 200M tu.
 
Daaah ni shida sana aisee... mwaka umeisha hovyo sana kwa bwana Musk
 
Back
Top Bottom