Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe unamuona huyo mmliki wa Tweeter aliepita na aliepo ni raia wa kawaida mkuuNa kuna taarifa(in Lisu's voice) zinasema twitter ilikuwa ikimilikiwa na CIA
Wamiliki ama Wasimiliki hakuna Tech ya Marekani ambayo CIA hawana Access. Ni danganya toto tu ukiambiwa kuna privacy.Na kuna taarifa(in Lisu's voice) zinasema twitter ilikuwa ikimilikiwa na CIA
Kumbe ndio maana huwa wanaziogopa kampuni za China kama Huawei kwa sababu wanajua wanachikifanya wao kupitia makampuni yao yaliyoishika DuniaWamiliki ama Wasimiliki hakuna Tech ya Marekani ambayo CIA hawana Access. Ni danganya toto tu ukiambiwa kuna privacy.
Kuweka sawa Kampuni za China Zinazojitegemea, maana Zipo ambazo zinatumia Tech za US kama Lenovo ama Oneplus hizi zinaachiwa.Kumbe ndio maana huwa wanaziogopa kampuni za China kama Huawei kwa sababu wanajua wanachikifanya wao kupitia makampuni yao yaliyoishika Dunia
Narudia hii tena kwa kukazia HAKUNA "BOFLO NGUMU MBELE YA CHAI."Hakuna boflo ngumu mbele ya chai
Ulipigwa ban kivipi mkuu na kwa nini huja appealWacha waisome namba. Wamenipiga ban bila kosa. Mimi ni mtu wa kusoma tu habari nashangaa nimelambwa ban.
Inasemekana ni ex-insider job. Former employee kadisclose weaknesses
hata Tesla mambo si mazuri
Nimeappeal ila ban imesimama palepale. Tena ni permanent suspended.Ulipigwa ban kivipi mkuu na kwa nini huja appeal
Na kuna taarifa(in Lisu's voice) zinasema twitter ilikuwa ikimilikiwa na CIA
😁 😁 😁 kwisha habari yakeTatizo kubwa lipo na mmiliki mpya... Amekuwa mzee wa majukwaa sana....
Nawaza namna ya kudukua API za voda ,tigo,nmb mkononi na zingine Sasa sijui nianzie wap
Kosa nini mkuuNimeappeal ila ban imesimama palepale. Tena ni permanent suspended.