kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Tatizo kubwa lipo na mmiliki mpya... Amekuwa mzee wa majukwaa sana....Inasemekana ni ex-insider job. Former employee kadisclose weaknesses
Wewe ni woke brainwashed clown....Kwahyo mmetumia hii njia na najua huko mliko kwenye mikutano yenu ya liberals mnashangilia sasa.Tatizo kubwa lipo na mmiliki mpya... Amekuwa mzee wa majukwaa sana....
Cha muhimu wajue weakness ilosababisha hio breach.Threat actors kutokea ndani kujifanya mzee wa Ransomware hachukui muda kudakwa.
Kwanza hii story ni manufacturedCha muhimu wajue weakness ilosababisha hio breach.
Lkn kuna ex engineers wa twitter walikua wanasema kuna weaknesses sana kwenye twitter api
Kivipi?Kwanza hii story ni manufactured
Sio kweliKivipi?
Story inagonga headline kwenye top hacking forums nyingi af unasema sio kweli?Sio kweli
Hii ingekuwa headline kwenye forums zote sio za hacking tuStory inagonga headline kwenye top hacking forums nyingi af unasema sio kweli?
Daaah ni shida sana aisee... mwaka umeisha hovyo sana kwa bwana MuskUkiona hivi ishauzwa sana, hapo utakuta huyo mwenyewe anayeuza kauziwa anataka na yeye apige faida.
Mwezi wote huu info za Twitter zinaleak ila kwa kiasi kidogo kama Milioni kadhaa.
Active user Twitter inao around 200M tu.
passwords, search history, personal data kama email, phone etc....Mm ni mgeni
Hivi wanaposema data zinauzwa huwa inakuaje
Maana wanapost tunasoma kila siku, kwan kuna ya siri yapi zaidi
hata Tesla mambo si mazuriDaaah ni shida sana aisee... mwaka umeisha hovyo sana kwa bwana Musk