TWITTER API HACKED: Mamillion ya data za watumiaji wa twitter yanauzwa

Wacha waisome namba. Wamenipiga ban bila kosa. Mimi ni mtu wa kusoma tu habari nashangaa nimelambwa ban.
 
Hii ni story ya kutunga...na waliotunga ni mashoga wa Liberals (Democratic)
 
Nawaza namna ya kudukua API za voda ,tigo,nmb mkononi na zingine Sasa sijui nianzie wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…