Twitter get together ilifanyika juzi, lini JF?

Twitter get together ilifanyika juzi, lini JF?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Juzi tulikuwa pale Kijitonyama grounds, ilikuwa kama Miami. Baadha ya wadau wa Twita niliowaona
1.Kigwangala (huyu anakipiga basket ball hatar)
2. Zitto
3. Mwana FA
4. Wakazi
5. Matata

Na wengne wengi. Watoto wakali sana. It was fun kikwel BBQ nini.

Swali: JF lini, ndio mwisho wa mwaka huu wakuu.
 
Write your reply...wengine ni fugitive hapa kama Mimi kwa hyo hizi party ni hatari kwetu
 
Juzi tulikuwa pale Kijitonyama grounds, ilikuwa kama Miami. Baadha ya wadau wa Twita niliowaona
1.Kigwangala (huyu anakipiga basket ball hatar)
2. Zitto
3. Mwana FA
4. Wakazi
5. Matata

Na wengne wengi. Watoto wakali sana. It was fun kikwel BBQ nini.

Swali: JF lini, ndio mwisho wa mwaka huu wakuu.
Mimi hukuniona?
 
Jf tunakutana kwe kunjunjiana tu kibaharia ...wengine ID zishachafuka...bora utekwe na mwanamke kuliko tamashani ah ah
 
Back
Top Bottom