Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Sure wakuu tuaandae moja, niliwahi kuudhuria moja enzi za @lara1 mikocheni nyingine ni kwenye kutimiza mwaka mmoja was kifo cha Regia Mtema pale peackock mnazi mmoja wanajf tulikuwa wengi sana.
Nakumbuka sikuhiyo mkuu figganigga ndio alikuwa anatoa updates humu ndani.
Nakumbuka sikuhiyo mkuu figganigga ndio alikuwa anatoa updates humu ndani.