Mimi hukuniona?Juzi tulikuwa pale Kijitonyama grounds, ilikuwa kama Miami. Baadha ya wadau wa Twita niliowaona
1.Kigwangala (huyu anakipiga basket ball hatar)
2. Zitto
3. Mwana FA
4. Wakazi
5. Matata
Na wengne wengi. Watoto wakali sana. It was fun kikwel BBQ nini.
Swali: JF lini, ndio mwisho wa mwaka huu wakuu.
[emoji2][emoji2] Basi sawaaHahahah,alikuepo
Ndiyo ndiyoMnakula kimya kimya sio
Nilikuepo..Kigogo alikuwepo?
Ha haaaa sawa mkuuNilikuepo..
Ikiandaliwa ya JF nitakushtua twende pamoja hahaHa haaaa sawa mkuu