Twitter ina shida gan?

manchoso

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
1,605
Reaction score
2,055
Habari

mtandao wa twitter ulikuwa una sumbua katika simu yangu nikaona nijaribu kudelete kisha niinstall tena lakin ajabu kila nikijaribu kuinstall haukubali katika simu wala pc

naomba msaada waungwana
 
Leo nashangaa natumia Tweeter bila vpn na tiGO au masela wameanza kuachia firewalls zao?
 
Mambo ya wanyonge hayo. Pole sana mnyonge tumia VPN. Wenye nchi yao hawataki utumie huo mtandao.
 
Mitandao mingine sijawahi hata kuitumia
Ukiondoa JF na Insta hapa bongo, mtandao mwingine unao ongoza kutumiwa na wabongo wengi hasa vijana, wanasiasa na wana harakati ni Tweeter..
 
It has been a while since Twitter went down, From the day of election to date, I'm still using VPN to acces Twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…