Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tor browserKwangu nina siku ya nne haifunguki kabisa hata nikitumia vpn, Napata notification tu.
Ukiondoa JF na Insta hapa bongo, mtandao mwingine unao ongoza kutumiwa na wabongo wengi hasa vijana, wanasiasa na wana harakati ni Tweeter..Mitandao mingine sijawahi hata kuitumia
Angalia hata Kigwa anapigwa spana huku mchana kweupee anapangua..Mitandao mingine sijawahi hata kuitumia
wakuu nimeinstall vpn naona imekubaliHivi kwanini huu mtandao unafungiwa hadi leoMambo ya wanyonge hayo. Pole sana mnyonge tumia VPN. Wenye nchi yao hawataki utumie huo mtandao.
Kwangu nina siku ya nne haifunguki kabisa hata nikitumia vpn, Napata notification tu.
Pamoja mkuu.mkuu shukran sana ni kweli vpn inasaidia imefunguka natumia fresh toka jana
ubarikiwe sana
KigogoHivi kwanini huu mtandao unafungiwa hadi leo
Wanamuogopa kigogoHivi kwanini huu mtandao unafungiwa hadi leo