AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Nadhani wapo wenzangu kama mimi ambao twajiuliza Twitter ina kitu gani unique kwa watu mashuhuri (watu sensational)
Achana na akina Gigy Money na Instagram. Mfano akina Trump, Zitto Kabwe na wengineo. Hata mmiliki wa Facebook na Instagram naye anatumia Twitter.
What is so special with Twitter? Ingawa wengi wetu hatuwezi itumia.
Naomba kuwasilisha.