Twitter kunani?

Twitter kunani?

Uzuri wa twitter habari mpasuko inayotokea sekunde moja popote duniani, inasambaa sekunde hiyo hiyo dunia nzima.
Kabisa, nowadays taratibu nakuwa addicted na Twitter, mbali na habari za mda huo huo pia, inakuleta karibu sana na 'world figures' mbali mbali.
 
Princess wa mimi hoping you have acc. there[emoji2]
And weekend ilikuwa poa kwako.
Evening miss.
Niko nayo kitambo sana jamani my King!!
Weekend ndo inaisha jamanii dear, still on bed!!

Evening my dear!
 
Ingekuwa i natumia freebasics. Wangenikamata. Maana mb's naziskiaga tu kwa jirani.😆😆😆
 
Niko nayo kitambo sana jamani my King!!
Weekend ndo inaisha jamanii dear, still on bed!!

Evening my dear!
Well, kumbe tunaweza meet kwa Twitter,🤔🤔🤔
Hongera kuwa kwa bed, this time you need some rest ili uwe na nguvu ya kuanza Monday poa.
Evening good ingawa imetingwa tu na vishughuri vya hapa na pale. Si unajua, you are too far my lady.
 
Nowdays i am more active twitter zaidi ya JF
Ukiona hivyo umri unasonga unawaachia teens wajadili situation wakati adult wanajadili matters huko Twitter😂😂(just a joke) ila kiukweli nami pia najikuta naangukia mkondo huo huo, one, to two years to come naweza futika kabisa jf. kama itapotea sababu ya kuwa humu, imebaki moja. Jf. naona kama inapoteza mvuto kabisa upande wangu.
 
Well, kumbe tunaweza meet kwa Twitter,[emoji848][emoji848][emoji848]
Hongera kuwa kwa bed, this time you need some rest ili uwe na nguvu ya kuanza Monday poa.
Evening good ingawa imetingwa tu na vishughuri vya hapa na pale. Si unajua, you are too far my lady.
Yes
Tunaweza meet huko pia!

Pole sana na mihangaiko dear
 
Back
Top Bottom