Twitter kunani?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Nadhani wapo wenzangu kama mimi ambao twajiuliza Twitter ina kitu gani unique kwa watu mashuhuri (watu sensational)

Achana na akina Gigy Money na Instagram. Mfano akina Trump, Zitto Kabwe na wengineo. Hata mmiliki wa Facebook na Instagram naye anatumia Twitter.

What is so special with Twitter? Ingawa wengi wetu hatuwezi itumia.

Naomba kuwasilisha.
 
hakuna mambo ka ya inst kule ni mtu mzima tuu ndo anaweza tumia yani zile kauli za tweets, following. followers na replies, kule hakuna mapicha picha ka ya inst. mkuu karibu tu tweets.

majibu ya msing ni hivi ile ni social network ya kitambo na ilianzishwa 2006 ikiwa ni social network ya awali na ikapata watumiaji wengi sana miaka hiyo so zilipokuja mitandao mingine ya kijamii ikaikuta twitter ilishaweka mizizi

Pia mfuwa wa twitter wa kiusalama na kisiri ni mzuri na salama zaidi ukilinganisha mitandao mingine kama fb na inst, sidhan ka ulishawahi sikia mtu akilalamika kaibiwa a/c yake ya twitter

Pia twitter imekuw aka sehemu ya umaarufu, sehemu ya watu wazito yani ni kama mtu kumilik BMW na magari mengine ya kifahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…