Dickson mwaipopo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 481
- 455
ATCL je una shobo nayo?Mi Twitter hata sina shobo nayo
Aanhaa..Bas baridani zile zile ka za mitando mingine mkuu
Tena!??DuuhKaribu twitter, Ile ni sayari yetu nyingine, ukiwa kule ni kama haupo uraiani huku
Twitter inafanya nianze kuisahau jf
Nilijua tu lazima ningekukuta apaKule saivi waheshimiwa wamepafanya sehemu ya vijembe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua tu lazima ningekukuta apa
Si ndio mambo yako uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini eti jamani
Sawa dadaSi ndio mambo yako uko
Kabisa, nowadays taratibu nakuwa addicted na Twitter, mbali na habari za mda huo huo pia, inakuleta karibu sana na 'world figures' mbali mbali.Uzuri wa twitter habari mpasuko inayotokea sekunde moja popote duniani, inasambaa sekunde hiyo hiyo dunia nzima.
Princess wa mimi hoping you have acc. thereπSawa dada
Niko nayo kitambo sana jamani my King!!Princess wa mimi hoping you have acc. there[emoji2]
And weekend ilikuwa poa kwako.
Evening miss.
Tupo na wazo moja mkuuTwitter inafanya nianze kuisahau jf
Kule saivi waheshimiwa wamepafanya sehemu ya vijembe!
Well, kumbe tunaweza meet kwa Twitter,π€π€π€Niko nayo kitambo sana jamani my King!!
Weekend ndo inaisha jamanii dear, still on bed!!
Evening my dear!
Ukiona hivyo umri unasonga unawaachia teens wajadili situation wakati adult wanajadili matters huko Twitterππ(just a joke) ila kiukweli nami pia najikuta naangukia mkondo huo huo, one, to two years to come naweza futika kabisa jf. kama itapotea sababu ya kuwa humu, imebaki moja. Jf. naona kama inapoteza mvuto kabisa upande wangu.Nowdays i am more active twitter zaidi ya JF
YesWell, kumbe tunaweza meet kwa Twitter,[emoji848][emoji848][emoji848]
Hongera kuwa kwa bed, this time you need some rest ili uwe na nguvu ya kuanza Monday poa.
Evening good ingawa imetingwa tu na vishughuri vya hapa na pale. Si unajua, you are too far my lady.