Twitter kuweka ukomo wa kutuma DM's kwa siku

Twitter kuweka ukomo wa kutuma DM's kwa siku

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mtandao wa Twitter wanafanyia kazi mfumo wao, kwa ajili ya kuweka ukomo wa kutuma ''DM's'' Direct Messages kwa siku na hivyo kumuhitaji mtumiaji kulipia ''Blue check'' ili kuweza kutuma DM's bila ukomo kwa siku.

Screenshot 2023-06-13 at 12-57-34 EastAfricaRadio on Twitter.png
 
Huyu tajiri nae ana njaa tu!
Dm nayo inamuuma?

Au ni mbinu kutaka auze miroboti yake?

Hawa pasua vichwa atuachie huko Dm pa1 kwamba wanavujisha
 
Back
Top Bottom