Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,336 Reaction score 4,731 Jun 13, 2023 #1 Mtandao wa Twitter wanafanyia kazi mfumo wao, kwa ajili ya kuweka ukomo wa kutuma ''DM's'' Direct Messages kwa siku na hivyo kumuhitaji mtumiaji kulipia ''Blue check'' ili kuweza kutuma DM's bila ukomo kwa siku.
Mtandao wa Twitter wanafanyia kazi mfumo wao, kwa ajili ya kuweka ukomo wa kutuma ''DM's'' Direct Messages kwa siku na hivyo kumuhitaji mtumiaji kulipia ''Blue check'' ili kuweza kutuma DM's bila ukomo kwa siku.
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 Jun 13, 2023 #2 Twitter imekuwa ya ovyo sana.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Jun 13, 2023 #3 Huyu tajiri nae ana njaa tu! Dm nayo inamuuma? Au ni mbinu kutaka auze miroboti yake? Hawa pasua vichwa atuachie huko Dm pa1 kwamba wanavujisha
Huyu tajiri nae ana njaa tu! Dm nayo inamuuma? Au ni mbinu kutaka auze miroboti yake? Hawa pasua vichwa atuachie huko Dm pa1 kwamba wanavujisha