Twitter siku hizi imevamiwa na 'wapwa' na 'mabloo', imekuwa ya hovyo sijawahi kuona

Twitter siku hizi imevamiwa na 'wapwa' na 'mabloo', imekuwa ya hovyo sijawahi kuona

#LearnToCode utengeneze mtandao...hizi recycled arguments za kwamba mitandao imevamiwa zinanishangaza sana,if you think it's no longer viable kwako,move on to the next..
 
Hivi hamna njia ya kuwaelezea wahuni ukaeleweka bila kuihusisha bangi? Kwani ukisema Twitter kumejaa wahuni na wanywa Novida ni kosa kisheria?
Mi naishi pembeni mwa barabara na bar na matusi mengi na mambo ya ajabu nayoyasikia mengi ni kutoka kwa wanywa pombe sio wavuta bange so tuuheshimu kidogo huu mmea maana bila wenyewe kuwepo huenda ecosystem isingekamilika. Japo nakubaliana na wewe kwamba mitandao ya sikuhizi imevamiwa na watu wa ajabu na washamba wa fikra
 
Mtandao wowote wa kijamii ukishaanza kutumiwa na watu wengi, tegemea kukutana na kila aina ya watu kwenye huo mtandao. Iwe watu wema, wabaya, matapeli, wajinga, wastaarabu n.k

Uzuri mitandao ya kijamii inakupa flexibility ya nani unataka umfollow/ uwe friend nae na nani uamue usiwe una-interact nae. Ukiona mtu huendani nae au msumbufu kuna option za kublock au mute.

Ukiwa na mtazamo kuwa mtandao fulani eti ina watu wastaarabu au inatumika na watu smart tu, basi you are setting yourself up for disappointment.

Mimi niko twitter since 2010, it has always been like that. Haijawahi badilika.Vurugu zipo, mizaha ilikuwepo, watu kutangaziana issue zao kupo, watu kutukanana au kuibiana wapenzi pia kupo n.k

Kabla ya hii watu kujiidentify as mabloo au wapwa, kulikuwa na side A na side Z. So huwa nashangaa mtu anapohisi kuwa twitter inatumika na watu wastaarabu au watu smart tu.

Tukija kwenye social media site ya Tz kama jamiiforums na yenyewe hivyo hivyo. Watu wanahisi kuwa zamani watu walikuwa wanashusha nondo tu muda wote, kutukanana pia kulikuwepo, kuzinguana, mizaha mizaha pia n.k
 
Kwakweli twita siku hizi hapana.

Yani thread mara kuoneshana magari mara viatu mara workplace ujinga tuu nafikiri kwa sababu ya ujana mwingi.

Ila kama sio kigogo basi ningekuwa nishajitoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#LearnToCode utengeneze mtandao...hizi recycled arguments za kwamba mitandao imevamiwa zinanishangaza sana,if you think it's no longer viable kwako,move on to the next..
This is a stupid argument. It like if someone sees corrupt practises in his country, he/she has no right to complains, he/she has to create his own country.

What a foolish argument.
 
Twitter imekua ya kiwaki/Uhuru uliopitiliza umefuta Hadi itifaki/ kwanza wengi wanafki/ Mambo ya kupost picha kwa sifa et wamedamshi/ ma junk/

One love
 
Mpwa what you see on your TL depends na umemfollow nani na yeye kamfollow nani. Fanya hivi nenda kaunfollow "wavuta bangi" wote halafu follow kina Trump na daily news.
Hapo nyuma nilikua na fikra kama zako ila nikaja kugundua maisha haya ni mafupi sana. Since then I've been a firm believer of live and let live philosophy.
 
kwa nini bangi,mbona nchi jirani rais anavuta ganja na bado ni rais wa mfano africa ?
kwanza wavuta ganja macho madogo sana saa ngapi ataona maandishi ya simu?

acheni kuipa bangi sifa mbaya,wanaotukana sana huko twiter ni wavimba macho walevi mbwa wanywa k-vant job seekers wengine huko ila sio wala ganja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is a stupid argument. It like if someone sees corrupt practises in his country, he/she has no right to complains, he/she has to create his own country.

What a foolish argument.
Mkuu zama zinabadilika ni kama zamani kuona mtu anamiliki email account ni msomi Hivyo ukiona huendani na mabadiliko kaa pembeni, maana tunapoelekea mpaka watoto wa miaka 10 watakuwa wanamiliki smartphone
 
Kwa niaba ya wavuta bangi wote duniani na Tanzania kwa jumla. Nachukua nafasi hii kumpingaa mtoa mada. Hayo mambo yenu ya Twitter ni yenu hayatuhusu. Wavuta bangi hatuna mambo mengi. Ni watu tunaoongoza kwa ku mind biashara zenu. Address us with respect!"
tena aache kuhusisha bangi na mambo ya kijinga kijinga



au mods mnasemaje??
 
Kule inategemea umemfollow nani,kuna kila aina ya watu..siku hizi wengi wanatumia majina ya kike ili kupata wafuasi wengi kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom