Katika hali ya kustaajabisha, mtandao wa Twitter ambao kwa sasa unamilikiwa na Elon Musk umefuta huduma ya mijadala ya sauti maarufu kama Twitter Spaces.
Hongera sana Elon kwa hilo ,wanaume wa kitanzania iliwafanya kubweteka mfano Lema na Lisu ilikuwa kazi kushinda kwenye twiter space wakasahau hata kufua nguo za Amsterdam.