Twitter Space yafutwa

Twitter Space yafutwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Katika hali ya kustaajabisha, mtandao wa Twitter ambao kwa sasa unamilikiwa na Elon Musk umefuta huduma ya mijadala ya sauti maarufu kama Twitter Spaces.

Kazi iendelee
 
Wale wana harakati koko ambao Magufuli aliwakomesha sana wajiandae kutafuta vijiwe vingine
 
Elon anazingua sana. Katina Mpya tutaipataje sasa? Amevunja vikao[emoji23]
 
Back
Top Bottom