TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hili swali ungemuuliza Robert Amsterdam ingekuwa poa sana!Unahangaika sana na mambo ya watu ww. Poverty na homelessness USA inakuhusu nini mtanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali ungemuuliza Robert Amsterdam ingekuwa poa sana!Unahangaika sana na mambo ya watu ww. Poverty na homelessness USA inakuhusu nini mtanzania?
Mkuu upo viunga vya Detroit nini!? Mbona mkali hivi!?Unahangaika sana na mambo ya watu ww. Poverty na homelessness USA inakuhusu nini mtanzania?
Mbona unatoka kwenye mada mkuu?Hili swali ungemuuliza Robert Amsterdam ingekuwa poa sana!
Nipo San Diego, california. Na wala sihangaiki na maisha ya watu huku mimi. Nafuata kilichonileta ambacho ni kupambana na maisha yangu binafsi!Mkuu upo viunga vya Detroit nini!? Mbona mkali hivi!?
Tanzania is in crisis. Mabiashara yanafungwa kila kona. Watu ajira hawana kabisa na maisha yanakuwa magumu mnoo. Why care about USA. Marekani will be fine, trust me. Lakini tanzania i am not so sure.Mkuu upo viunga vya Detroit nini!? Mbona mkali hivi!?
Going to sleep. Saa saba na nusu usiku mida hii (Tanzania itakuwa saa sita na nusu mchana). Will catch up with JF later.Mkuu upo viunga vya Detroit nini!? Mbona mkali hivi!?
Saa7 saivi usiku US ,are you serious?Going to sleep. Saa saba na nusu usiku mida hii (Tanzania itakuwa saa sita na nusu mchana). Will catch up with JF later.
Kuna mmoja nimesoma thread humu ana siku ya 244 korokoroni! Na yeye alikuwa bingwa wa kutukana huku wanamshangilia ila leo yuko peke yake ndani.Me nilikua naiomba serkali iwaangalie watu aina ya huyo mwamba kwa jicho makini kama analo tazamwa gaidi.
Maana hako katabia (kumtukana Rais kuidhalilisha nchi) kanakua kila kukicha.
Kalianzia mitandaoni lakini sasa naona mpaka mtaani kanaanza kuota mizizi.
Kwa kweli huwa silipendi jina la JIWE na mengine ya kipuuzi, wanayo tumia kumfananisha Mh. Raisi.
Kwangu huo ni ushamba na kukosa adabu kwa vijana wengi hapa nchini.
Angetolewa mfano mmoja wapo ingekua poa sana.
USA is in serious trouble right now! Kuanzia korona,uchaguzi,uchumi ni kizungumkuti. Usiniambie huoni biashara zinavyokufa USA, na watu wanavyopoteza kazi USA.Tanzania is in crisis. Mabiashara yanafungwa kila kona. Watu ajira hawana kabisa na maisha yanakuwa magumu mnoo. Why care about USA. Marekani will be fine, trust me. Lakini tanzania i am not so sure.
Hawa poor people wanaendesha ndinga kali ivyo..!! Hawa siyo poor bana ..ni lifestyle tu wameamua kuishi.
Elites wananeemeka na kundi hili kwenye video la wananchi.
USA inakuhusu nini ww? Wala, hali sio mbaya kivile. Media tu. Mie ndio niko huku nakuambia sasa. Ila waafrika ndio maana mtaendelea kuwa maskini. Ni umbeya na longolongo za maisha ya wengine. Wakati kundulo chafu wala haulioni na haufikirii namna ya kulisafishaUSA is in serious trouble right now! Kuanzia korona,uchaguzi,uchumi ni kizungumkuti. Usiniambie huoni biashara zinavyokufa USA, na watu wanavyopoteza kazi USA.
Dogo uko US au Tandale mbona mdomo mchafu hivyo?USA inakuhusu nini ww? Wala, hali sio mbaya kivile. Media tu. Mie ndio niko huku nakuambia sasa. Ila waafrika ndio maana mtaendelea kuwa maskini. Ni umbeya na longolongo za maisha ya wengine. Wakati kundulo chafu wala haulioni na haufikirii namna ya kulisafisha
Ukiambiwa ukweli unasema mdomo mchafu. I am just speaking the truth about tanzanians 100%. Sad zaidi hata tanzanians in USA wana tabia hizo hizo. Wanaanza kufuatiliana nani ana nini. Kanunua gari gani nk. Mie hata jumuiya za waTz siku hizi I don't meet up with them anymore. Mnatakiwa ku-focus kujiendeleza ww binafsi na familia yako na sio kusema sema watu wengine tu.Dogo uko US au Tandale mbona mdomo mchafu hivyo?
You got issues.Ukiambiwa ukweli unasema mdomo mchafu. I am just speaking the truth about tanzanians 100%. Sad zaidi hata tanzanians in USA wana tabia hizo hizo. Wanaanza kufuatiliana nani ana nini. Kanunua gari gani nk. Mie hata jumuiya za waTz siku hizi I don't meet up with them anymore. Mnatakiwa ku-focus kujiendeleza ww binafsi na familia yako na sio kusema sema watu wengine tu.
As for USA ni makazi yangu ya pili. Tanzanian citizen and US permanent resident. Ila kuamini au kutoamini is none of my business sababy hainiongezea wala kunipunguzia kitu maishani
Ilikuwa gari ya mkopo!!!( joking)😀😀😀Hawa poor people wanaendesha ndinga kali ivyo..!! Hawa siyo poor bana ..ni lifestyle tu wameamua kuishi.