INAUZWA Two doors commercial fridge

INAUZWA Two doors commercial fridge

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
IMG_20180110_100745.jpg
IMG_20180110_100734.jpg
IMG_20180110_100726.jpg
IMG_20180110_100722.jpg

Friji lilitumika kwa mwezi mmoja kwenye biashara ya duka. Baada ya hapo, likakaa Bila kutuma Na hakuna ndoto tena ya kufungua biashara ya vinywani.
Friji liko DSM linafanya kazi vizuri sana.
Bei ni shilingi 800'000/- Maongezi yapo.

Call 0718560505
 
Hiyo juu ni namba ya mmiliki
 
Kama huna cha kukoment pita zako kimyakimya, ukinizingua nakupa za mbavu, upper cut chembe kidevu. Kata funua kimo cha mbuzi. Mimi ndio Angela Mao mwalimu wa Cynthia Rothroch
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu ipo 400000 kama itakulipa nicheki.Mambo yamebana
 
Back
Top Bottom