Two Medical Doctors Drown in Sanje Water Falls

Two Medical Doctors Drown in Sanje Water Falls

RIP Dr Mujuni,

RIP Dr Alluthe
 
My God rest their souls in eternal peace ,amen.

Marehemu DR.ALute tulisoma naye Arusha ,It is so sad ! jamaa was so cool!
 
...RIP. Taarifa ya Habari ya Kituo cha ITV jana tar 16/04 inasema kuwa juhudi za kuwaokoa marehemu zilishindikana hadi pale wazee wa eneo hilo walipoitwa na kufanya maombi maalumu ndipo ikawezekana kwa miili ya marehemu kupatikana. Should we really believe this?
 
Last edited:
Poleni sana wafiwa, ndugu jamaa na marafiki... Wapumzike kwa amani!!
 
Taarifa ya Habari ya Kituo cha ITV jana tar 16/04 inasema kuwa juhudi za kuwaokoa marehemu zilishindikana hadi pale wazee wa eneo hilo walipoitwa na kufanya maombi maalumu ndipo ikawezekana kwa miili ya marehemu kupatikana. Should we really believe this?

Vifo hivi vinasikitisha sana. Ni hasara kubwa kwa Taifa na familia zao.

Hayo maombi nadhani ni uzushi tu na kujaribu kupata cheap credits. Kabla ya kupata msaada wa jeshi, uopoaji wa miili ulikuwa mgumu kwa sababu ya kukosa ujuzi na vifaa. Wanajeshi wana ujuzi na vifaa. Ina maana hayo maombi hayakufanya kazi mpaka walipoenda wanajeshi wa JWTZ (Navy)?
 
Back
Top Bottom