Two people injured in suspected IED explosion at Latema junction near Odeon, Nairobi

That is very bad sign, if citizens get back to Norma in very short time after bomb explosion, that means they get used to these violence, like Somalia, Yemen, Afghanistan, Syria, Kenya, and Iraq. All these fall under failed states.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wasichojua ndugu zetu wakenya ni kwamba wasomali waishio kenya wakisikia shambulio limetengezwa na wasomali wabafurahi na kuwakubali sna wenzao kwa kupanga mipango ilionyooka kiasi cha kuondoa amani ndani ya wakenya wenzao.
 
The way you take a country for a failed state does not apply to everyone and its not final. Take that odd list of yours to any bird on Mt Kilimanjaro and it will single out Kenya as the odd one out. Sorry, your wish to have Kenya as a failed state will never come. I'm shocked on how poor you are in analysing issues.
 
hawa wasukuma mkokoteni wa Nairobi ni wezi sana sio rahisi mtu amuachie begi halafu arudi amkute nadhani baada ya huyo msomali kurudi nyuma kufuata kitambulisho huyo msukumamkokoteni alifungua begi ili ajue kilichomo na alichokuwa anakitafuta amekipata
 
Theres a possibility kabisa.
Kwa Nairobi si rahisi Mtu aache mali yake kirahisi hivyo, jamaa aliona kapata bingo akaamua achunguze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Theres a possibility kabisa.
Kwa Nairobi si rahisi Mtu aache mali yake kirahisi hivyo, jamaa aliona kapata bingo akaamua achunguze

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa jinsi mazingira yalivyo alikwenda kuchunguza mbali kidogo na mkusanyiko wa watu ndio maana madhara hayakuwa makubwa wakenya mungu amewasimamia sana hata lile tukio la riverside kama mipango ya magaidi ingeenda jinsi walivyopanga watu wangekufa wengi sana
 
Kidogo umetumia point
hapo ndio mtaona Hili jambo linaenda kuwa gumu sana
Ni wakenya wenyewe kwa wenyewe
Haya mambo yapo kiimani zaidi. Ule ugaidi wa kule Garisa university mpaka kijana wa ki Tz aliokuwamo, huku walijiita Al shabaab !!. Na kijana yule kilichomuingiza kwenye mambo hayo ni IMANI kali. Na aliwaona waSomali kama nduguze kuliko wa Arusha wenzie.

Ukweli upo ila watu wanakwepa kwepa . Jibu lipo misikitini tusione haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakazia lile la river side ili wahalalishe manyanyaso yao Na ndio maana hili halikuua Haya bhwana
 
Watu wengi wanapozipata hizi habari hufikiria tu kulaani haya matukio moja kwa moja lakini upande wa pili kama wametia pamba za masikio hawajui kwamba Kenya wamemimina majeshi yao kule somalia na wameuwa watu na waislamu na vichanga na ku disparate watu maelfu kwa maelfu katika makazi yao ya kudumu nchini somalia na hivi yanatokea haya bado Kenya inashikilia somalia.

Nadhan hili jambo ni baya zaidi na la kulaaniwa zaidi kuliko yote
 
Ati GDP ya Kenya by 2020 itakuwa $100 billion. Sasa tokwa povu.
 
kenya ranked as a failed state

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bomb kweli hilo au fireworks


Sent from my SM using Tapatalk
 
Poleni ndugu zetu wakenya. Mungu awatetee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…