Two people injured in suspected IED explosion at Latema junction near Odeon, Nairobi

Two people injured in suspected IED explosion at Latema junction near Odeon, Nairobi

Watu wengi wanapozipata hizi habari hufikiria tu kulaani haya matukio moja kwa moja lakini upande wa pili kama wametia pamba za masikio hawajui kwamba Kenya wamemimina majeshi yao kule somalia na wameuwa watu na waislamu na vichanga na ku disparate watu maelfu kwa maelfu katika makazi yao ya kudumu nchini somalia na hivi yanatokea haya bado Kenya inashikilia somalia.

Nadhan hili jambo ni baya zaidi na la kulaaniwa zaidi kuliko yote

kuna umuhimu wa kujongeleana kwenye meza ya mazungumzo ili kufikia muafaka.
siyo siku zote kupigana ni kujilinda.
 
Hahahahahahahahah, It is not you or me to decide that, Kenya was ranked as a failed state after acquisition of all necessary requirements, it pains but that is the reality.

Sent using Jamii Forums mobile app
When was it ranked as a failed state, by who and under which parameters?. Don't just misuse the term 'reality'. I also realize that you say 'was ranked'. That tense betrays your claims as mere bygones that can't be ascertained. Perhaps it would have been prudent of you to talk about present occurrences. Kenya is one of the so called a beacon of hope in so far as the East African region is concerned.
 
Watu wengi wanapozipata hizi habari hufikiria tu kulaani haya matukio moja kwa moja lakini upande wa pili kama wametia pamba za masikio hawajui kwamba Kenya wamemimina majeshi yao kule somalia na wameuwa watu na waislamu na vichanga na ku disparate watu maelfu kwa maelfu katika makazi yao ya kudumu nchini somalia na hivi yanatokea haya bado Kenya inashikilia somalia.

Nadhan hili jambo ni baya zaidi na la kulaaniwa zaidi kuliko yote
Al shabaab walianza ukorofi kabla ya Kenya haijapeleka wanajeshi Somalia . Tena walianza kwa kuteka watalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom