Watu wengi wanapozipata hizi habari hufikiria tu kulaani haya matukio moja kwa moja lakini upande wa pili kama wametia pamba za masikio hawajui kwamba Kenya wamemimina majeshi yao kule somalia na wameuwa watu na waislamu na vichanga na ku disparate watu maelfu kwa maelfu katika makazi yao ya kudumu nchini somalia na hivi yanatokea haya bado Kenya inashikilia somalia.
Nadhan hili jambo ni baya zaidi na la kulaaniwa zaidi kuliko yote
When was it ranked as a failed state, by who and under which parameters?. Don't just misuse the term 'reality'. I also realize that you say 'was ranked'. That tense betrays your claims as mere bygones that can't be ascertained. Perhaps it would have been prudent of you to talk about present occurrences. Kenya is one of the so called a beacon of hope in so far as the East African region is concerned.Hahahahahahahahah, It is not you or me to decide that, Kenya was ranked as a failed state after acquisition of all necessary requirements, it pains but that is the reality.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati GDP ya Kenya by 2020 itakuwa $100 billion. Sasa tokwa povu.
Ushahidi ninaundaa.lkn mna ushahidi?
Kelele za chura hazitamzuia Kenya kupaa juu. Kojoa ulale.Ahaaa haaa haaa
a GDP is not a cash budget for implementation of the fiscal year expenditure.
Al shabaab walianza ukorofi kabla ya Kenya haijapeleka wanajeshi Somalia . Tena walianza kwa kuteka wataliiWatu wengi wanapozipata hizi habari hufikiria tu kulaani haya matukio moja kwa moja lakini upande wa pili kama wametia pamba za masikio hawajui kwamba Kenya wamemimina majeshi yao kule somalia na wameuwa watu na waislamu na vichanga na ku disparate watu maelfu kwa maelfu katika makazi yao ya kudumu nchini somalia na hivi yanatokea haya bado Kenya inashikilia somalia.
Nadhan hili jambo ni baya zaidi na la kulaaniwa zaidi kuliko yote
Hahahaha, by that time 70% ya wakenya watakua wameuliwa na Alshabab.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kuota GDP wakati Alshabab wanawatia vidoleNa bado hiyo 30% remaining itakuwa bado inawasumbua ki-GDP...hebu sema $100billion yani tunawaunganisha Pamoja na UG, Burundi and Rwanda na bado hamtufikii failed state. Kojoa ulale 😀😀
Mlipaswa kulinda mipaka yenu ili wasiingie Kenya, sio kupeleka jeshi Somalia, very poor decision making, kwani jeshi lenu halina intelijensia kujua kwamba hiyo vita msingeshinda?Al shabaab walianza ukorofi kabla ya Kenya haijapeleka wanajeshi Somalia . Tena walianza kwa kuteka watalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kelele za chura hazitamzuia Kenya kupaa juu. Kojoa ulale.