Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
- Thread starter
- #61
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya sio Tz buda. Umaskini iko kenya but it is not vast. Mtu ako Kibera ni Maskini lakini bado analipa rent na stima. Huwezi mlinganisha na Ule Maskini wakutupwa wa Tz.
Wakenya kujikubali kuwa ni maskini hamtaki, mnakimbilia rank ambazo siyo zenu, maisha magumu mnatamani wote mngekuja kuishi TZ