Two Rivers eyes smart city status with over 10,000 residences

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya sio Tz buda. Umaskini iko kenya but it is not vast. Mtu ako Kibera ni Maskini lakini bado analipa rent na stima. Huwezi mlinganisha na Ule Maskini wakutupwa wa Tz.
Wakenya kujikubali kuwa ni maskini hamtaki, mnakimbilia rank ambazo siyo zenu, maisha magumu mnatamani wote mngekuja kuishi TZ
 
Huu Mchezo hauhitaji hasira! Sijawahi kapata hasira haraka ktk maisha yangu! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
But venye nimeona ukitupatupa maneno imebidii nijiondoe [emoji23][emoji23][emoji23], anyway peace [emoji120][emoji120][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…