TX Vs TXL (Landcruiser)?

Kuna hizo gari ni PRADO, zimetolewa katika mfumo wa mfuatano Prado TX ikaja Prado TXL ikafuata Prado Diamond neno Land Cruiser ni sawa linahitajika hapo.

Ukiingia Google utaziona na Land Cruiser utaziona GX, VX, VX8 nk
 
Toleo la LC Prado TXL ni la juu kuliko TX. Tofauti ni kwenye vitu baadhi kwenye TXL viko advanced kama idadi ya airbag, fridge, seat na mwonekano wa seat ni luxury na pia dash board yake ni soft kidogo.

Kwenye bei pale Toyota TXL inasimama 240m na TX 222 kwa automatic
 
TXL Ina Turbo Vs TX haina turbo so mwendo wa konokono
 
Prado Tx Ni gari ya kiKAZI kazi zaidi,
Prado TxL Ni gari ya KAZI ila ina LUXURY
(Urembo, entertainment, interior ya kuvutia, luxury seats, music etc)

Pia prado wanazo Prado VX, pamoja na Prado VXL

Zote ubora WA kuhimili KAZI & makoro Koro ya luxury unaenda kwa series from TX>TXL>VX> VXL
 
Nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…