Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi turbo inafaa kuweka kwenye Bodaboda?Tx haina turbo na specification zake ni chache kuliko Txl ambayo ina turbo
Kwani bodaboda bei gani na Turbo je?We jamaa vp?
Simply hizo huwa wanaziita Trim levels.
Hakika G imetulia sanaSimply hizo huwa wanaziita Trim levels.
Utofauti huwa upo kuanzia kwenye engine na vitu vingine vingi tu kama Sunroof/Moonroof, leather, heated seat, paints strips, comfort n.k.
Mfano kwenye prado TX ndio base model. Maana ukiikuta TXL inakuwa kuna vitu imeongezwa.
Hii kitu iko kwenye gari nyingi.
Mfano pia Premio ina Trim level 3
F yenye Cc1490
X yenye Cc1790
G yenye Cc1990
Apart from huo utofauti wa engine, Ukiendesha G imetulia sana road.
Bangi mbaya sana 🤣🤣Kuna hizo gari ni PRADO
zimetolewa katika mfumo wa mfuatano Prado TX ikaja Prado TXL ikafuata Prado Diamond neno Land Cruiser ni sawa linahitajika hapo
Ukiingia Google utaziona na Land Cruiser utaziona GX, VX, VX8 nk
"Neno land cruiser ni sawa linahitajika hapo "Bangi mbaya sana [emoji1787][emoji1787]
Sio being tu ikifika Tanzania bado ushuru unaokaribia sawa na bei ya kununulia.Bei zake aisee si mchezo
Sisi Wanyonge Mtetezi wetu ni Nani?sio being tu ikifika tz bado ushuru unaokaribia sawa na bei ya kununulia.
Nyinyi mtetez wenu ni VitzSisi Wanyonge Mtetezi wetu ni Nani?
Sasa ajabu unakuta mtu ana Premio F halafu anataka kushindana na Mark X...🤣🤣🤣🤣Simply hizo huwa wanaziita Trim levels.
Utofauti huwa upo kuanzia kwenye engine na vitu vingine vingi tu kama Sunroof/Moonroof, leather, heated seat, paints strips, comfort n.k.
Mfano kwenye prado TX ndio base model. Maana ukiikuta TXL inakuwa kuna vitu imeongezwa.
Hii kitu iko kwenye gari nyingi.
Mfano pia Premio ina Trim level 3
F yenye Cc1490
X yenye Cc1790
G yenye Cc1990
Apart from huo utofauti wa engine, Ukiendesha G imetulia sana road.
Abdala kichwa wazi.Sisi Wanyonge Mtetezi wetu ni Nani?