Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni shule mkuu✅Typhoid a.k.a enteric fever. Ina tibika vizur tatizo ni ww. Kinga ni nzuri kuliko tiba. Tuanze na tiba typhoid ni ugonjwa unao sababishwa na gram negative bacteria ivyo basi una tibiwa na antbiotic. Rx inj. Ya powerceff kama start then una mweza cipro mg 500b/d 10/ 7 au azythromycin 500mg Od 9/7.
ni kipi haswa kina fanya unaona typhoid hai ishi mwililini.? Ni kwamba ukisha tibiwa typhoid vijidudu wana kufa lakini wana tabia yaku acha antbody kwenye serum ambayo ina uwezo waku kaa ad miezi 6. NOTE kuwa antbody ni kama majimaji ivyo huwez yaua, incase uki pata homa ndani ya miez hiyo 6 ukienda pima bado utaonekana una typhpid lakin ukwel ni kwamba vimelea wa typhoid wanakuwa wame kufa ila antbody ndizo zinazo baki. Na maabara nying mtaani huwa zuna fanya screening tu. Wana fanya serology test wana pambanisha known antigen za salimonella ambazo ni comercial prapared na antbody ambazo zko mwlini mwako ivyo kama ulisha ugua siku za karibu typhoid ita soma tu. Pia kingine ni udanganyifu wa bahadhi ya maabara kwani syo sahihi kupima typhoid na kupewa sku hyo majib. Ni lazima wa thibitishe kwaku fanya mastertitration ambayo majibu hukaa masaa 24. So ukipima mahali ukapewa majb sku hyo hiyo ujue ushaliwa.
ili kuweza kupata majibu sahihi ya typhoid ni vizur kufanya culture& sensitivity..ni vitendo vyaku wahotesha wadudu wa typhoid na kuwawekea dawa.
Njia zi sababishao typhoid ni maji yasiyo chemshwa, matunda na mboga mboga, unaweza ukawa una pata tiba sahihi lakin haufati njia sahihi zaku zuia typhoid ivyo ni sawa naku jisumbua. Lakn pia mtu unavyo zidi kaa na typhoid mda mrefu una weza pata magonjwa mengne kama UTI, mambukiz ya mifupa na ata ya kifua. Na ata bacteria kwnye damu.
Hujakosea kitu mkuu. Just nlikuwa nataka na mm ni jifunze..!! Your welcome.Nilichanganya na pneumonia mkuu kuna bacterial pneumonia na fungal pneumonia samahani