Tyla Awabwaga Diamond, Asake na Mastaa Wengine, Ashinda Tuzo ya 'Best African Act' Katika MTV EMA 2024

Tyla Awabwaga Diamond, Asake na Mastaa Wengine, Ashinda Tuzo ya 'Best African Act' Katika MTV EMA 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Msanii wa Afrika Kusini, Tyla, ameibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best African Act’ katika hafla ya MTV Europe Music Awards (EMA) 2024. Katika kipengele hiki, Tyla alishindana na wasanii wengine maarufu kama Ayra Starr, Asake, Diamond Platnumz, DBN Gogo, pamoja na TitoM & Yuppe.
IMG_0663.jpeg

Tyla alipata uteuzi katika vipengele vinne vya tuzo hizi, ambavyo ni:

Best African Act
• Best Afrobeats
• Best New Act
• Best R&B
IMG_0664.jpeg

Hadi sasa, ametangazwa mshindi katika kipengele cha ‘Best African Act’. Hafla ya utoaji wa tuzo hizi inafanyika usiku wa leo mjini Manchester, Uingereza.
 
Back
Top Bottom