Tyla Malkia wa muziki Afrika

Tyla Malkia wa muziki Afrika

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
1719941922356.png
Ameachieve kila kitu kwenye muziki kwa kipindi kifupi kuanzia kuingiza ngoma Hot 100, kuingiza Billboard 200, kushinda tuzo ya Grammy na kushinda tuzo za BET.

Alichobakiza ni kuwa na wimbo wenye streams billion 1 kwenye platform moja na kujaza Arena au Stadium.
 
Ok may be atafikia level za Rihana umri na wakati umenifanya nisijue wimbo wake wowote
Taratibu naendelea kusikiliza nyimbo za Passenger
 
Ameachieve kila kitu kwenye muziki kwa kipindi kifupi kuanzia kuingiza ngoma Hot 100, kuingiza Billboard 200, kushinda tuzo ya Grammy na kushinda tuzo za BET.

Alichobakiza ni kuwa na wimbo wenye streams billion 1 kwenye platform moja na kujaza Arena au Stadium.
Shida qualification za kushinda hio Grammy dah.......weee didi weee.........kikubwa ni kula fleva ila haya matuzo hasa kwa huku afrika didi katuvuruga🦕🦕🦕tuzo unapata hadi uliwe kiboga ooh......
 
Amekua na [emoji294] ya kufika parefu fastaaa, ila sioni km ana deserve, maana [emoji457] enyewe ni 1 tyuuh. Nweiiii hongeraa yakee.
 
Lazima awe na godfather wake, au ndo hivo keshaliwa tope.......ustaa una gharama zake
 
Ameachieve kila kitu kwenye muziki kwa kipindi kifupi kuanzia kuingiza ngoma Hot 100, kuingiza Billboard 200, kushinda tuzo ya Grammy na kushinda tuzo za BET.

Alichobakiza ni kuwa na wimbo wenye streams billion 1 kwenye platform moja na kujaza Arena au Stadium.
Yeye ameachieve bila kutumia Kolabo? Kwetu huku mtu akitaka kuacheive analipia kolabo kwanza
 
Ameachieve kila kitu kwenye muziki kwa kipindi kifupi kuanzia kuingiza ngoma Hot 100, kuingiza Billboard 200, kushinda tuzo ya Grammy na kushinda tuzo za BET.

Alichobakiza ni kuwa na wimbo wenye streams billion 1 kwenye platform moja na kujaza Arena au Stadium.
Behind the scenes tunatakiwa tumuonee huruma na sio kumpongeza maana ikitoka behind the scenes part 2 ya didy itakuwa balaa.
 
Tupia ata kazi yake moja tumtathmini, sisi watu wa mpitimbi
 
Tylar 1 ni sawa na Zuchu 5
Aahhh wapi kwa sababu ya water tu iliyotrend kupitia tiktok.
Tayla alichomshinda Zuchu ni sex appeal, godfather mwenye connections globally, dancing na lugha inayoeleweka globally

Vingine kawaida tu. Na tayla kuonekana ni next rihanna ndio inambeba Ila akishindwa kutoa hits zaidi, dunia itamsahau maana kushinda Grammy kwa one hit wonder sio kumaliza kila kitu
 
Bado sana kuitwa malkia wa muziki Africa kwa hit moja,
Mfano Kwa era iliyopita Tiwa Savage alikuwa Queen of afrobeatz na akawa major act kwa upande wa wanawake Africa lakini bado hakupewa hiyo title.

Tayla kushinda grammy kupitia wimbo mmmoja haiwezi kumpa hiyo title
 
Back
Top Bottom