Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani Chief. Haha Mourinho ana mbinu zake mwenyewe tofauti na wanao-prefer modern futbol.Kaka una uchambuzi mzuri na nmeupenda....binafis wachezaji wa Chelsea ...nona bado wagumu kuangukia kundi maaluma coz huwa wanabadilika kulingana na game husika...ni mtazamo wangu lkin
Mwenyewe nimekua nacheza mpira ukiwa bado kwenye mfumo wa numbers. Siku hizi hakuna number, ni mwendo wa nafasi na majukumu zaidi. Hata goalkeepers ni sehemu ya viungo siku hizi, hawabutui ovyo, tena ukija vibaya wanakupindua wanaanza.Wakati nasukuma kabumbu kocha wangu alitufundisha mbinu moja au mbili tu za midfilder.
defensive midifilder a.k.a namba sita ...kazi yangu ilikuwa moja tu,mipira yote inayopigwa kutoka kwa kwa kipa wao au beki wao lazima niizuie na kuituliza na kumpatia namba nane wangu ambaye ni attacking midfilder.
pia nilisikia kocha akimfundisha namba nane wangu kuwa mipira yote inayotoka kwa mabeki inatakiwa niimiliki na kumpelekea namba kumi(inside attacker) au namba tisa(lone striker) au namba kumi na moja au namba saba(winga za kulia au kushoto)
Principle hii ilinisaidia na kusaidia timu yetu kushinda game nyingi sana.
Hahaha hiyo role inahitaji watu wake, inabidi watu wanaojitunza sana. Pia aina ya timu inasaidiaArticle Safi. .wakati nacheza mpira nikiwa o level nilikua namba 5 mzuri sana mpaka school team nilikuepo, siku moja nikaamua kucheza hiyo unayoiita box box yani nusu saa tu nikarudi namba yangu ni hatari kabisa hiyo namba inatakiwa uwe fit sana sana pumzi.
Claude Makelele aliangukia wapi katika makundi hayo?
Sikuwa na ufahamu sana wa mpira wakati anacheza, ila nadhani ni kwenye holding.
GK Sweepers
hawa ndo kina Neur yani anakua Golin ila hapo hapo ana act kama Sweeper ila mara nying ni timu zenye mfumo wa 3-5-2.
Kuna Hawa ma Wing Back kama Ashley young haswa wakiwa kwny mfumo wa 3-5-2.
Central Defensive Midfielder (CDM), hali iliyopelekea nafasi hiyo kuitwa jina lake yeye yaani "Makelele Role"
Yatafuata matusi ndio upeo wake na tayari ameanza.
Article Safi. .wakati nacheza mpira nikiwa o level nilikua namba 5 mzuri sana mpaka school team nilikuepo, siku moja nikaamua kucheza hiyo unayoiita box box yani nusu saa tu nikarudi namba yangu ni hatari kabisa hiyo namba inatakiwa uwe fit sana sana pumzi.
Mi nilikuwa hata sina habari, kuna majukwaa sijawahi kufika kabisa. Nilijua tu ni shabiki wa sokaKumbe na wewe unampata eenh? Kajamaa huwa kipo Jf ili kumsafisha Kagame, basi humu Jf huwa kinaongea utumbo juu wa Tz, mara aponde Jeshi, mara Kikwete n.k
Kajinga sana haka kajamaa cc TUPACified
Yeah Fab aliwahi kutumika kwenye hiyo role pia, na alifanya fresh sana.hao box to box midfielder pia unaweza ukawaita freelancer,yaani popote pale yupo, mara nyingi huwa ni mmoja tu na kazi yake kubwa ndo kama ulivyosema hapo juu,pia anatakiwa awe ni mtu wa mipango,mpigaji wa pasi mzuri,mbunifu awapo uwanjani,wakati mwingine pia anakuwa mtengenezaji wa magoli ila awe na puling si mchezo,hii kazi alishawahi kupewaga fabregas kipindi flani na Wenger but kikubwa ni majukumu aliyopewa na kocha wake kwa kipindi hicho/kwenye mechi husika, coz kuna wachezaji wanaweza kutumika kama attacking na offensive midfielder at the same time
Niliowataja ndio nimepata nafasi ya kuwaona sana bro, watu kama Baraja nilimuona Euro '04 na Spain, Makelele nilimuona msimu mmoja tu Madrid, Silva na Brazil ila nilikuwa siuelewi mpira kivile, so hata uwezo na majukumu yao siwezi kuyaelezea vizuri.TUPACified ukitaja defensive midfielders bila kuwemo Claude Makelele, Gilberto Silva na Ruben Baraja hiyo listi sio legit!