Typewriter

ismail hassan

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
696
Reaction score
1,629
Habari za wakati huu, nahitaji typewriters kadhaa, kwa mwenye nazo anipe location na mawasiliano ili tufanye biashara. Nawasilisha
 
Hizi ndizo nyuzi ninazopenda sasa... Ngoja waje watufafanulie
 
unahitaji ngapi kwa idadai mkuu na offer yako ikoje nikuunganishie sehemu chap uondoke na mzigo
 
Katika zama hizi za uwepo wa Computer hsyo madude ya mwaka 47 yanayoitwa typewriter yana kazi gani?
 
Habari za wakati huu, nahitaji typewriters kadhaa, kwa mwenye nazo anipe location na mawasiliano ili tufanye biashara. Nawasilisha
hizi mashine kuzipata mpaka uende kule maktaba au kule kwa ofisi za masijala za kioserikali maana hata mm nazitafuta muda mrefu sijafanikiwa labda kwa kuziagiza nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…