Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na Shida yoyote ileWandungu nasumbuliwa na typhoid,, natumia dawa napata nafuu baada ya miez 4 Hali inakuwa mbaya,, msaada tafadhali
Utakuwa Afisa Afya Mazingira.Shida inaweza kuwa hujaondoa chanzo cha typhoid, i. e maji, chakula.... Ukawa unatibu then unapata reinfection
Ahsante mkuu, ni daktariUtakuwa Afisa Afya Mazingira.
Maana ulivyojibu ndio namna unawexa tofsutisha kada yenu na kada zinginr za afya. Hongera sana kwa majibu mazuri