Typhoid ya mara kwa mara

Typhoid ya mara kwa mara

lovernel

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
85
Reaction score
34
Wandungu nasumbuliwa na typhoid,, natumia dawa napata nafuu baada ya miez 4 Hali inakuwa mbaya,, msaada tafadhali
 
utakuwa unatumia wrong medication au utaratibu wako wa kula vyakula ni mbovu
 
Wandungu nasumbuliwa na typhoid,, natumia dawa napata nafuu baada ya miez 4 Hali inakuwa mbaya,, msaada tafadhali
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Tumia dawa kwa mpangilio unaopendekezwa na daktari,mimi nilikuwa na tatizo hilo mara kwa mara typhoid inarudia kumbe nilikuwa simalizi dozi nikiandikiwa dozi ya siku kumi mimi nakunywa siku 5 nikipata nafuu naacha.Maliza dozi ndugu.
 
Inawezekana sio Typhoid labda daktari wako ana overdiagnose maana typhoid ikiwa reactive leo ukaipima baada ya miezi mitatu au minne whether unajisikia mgonjwa au uko OK lzm itasoma positive kwakuwa vipimo vinavyotumika kawaida ni mfumo rapid test wa antigen antibody reaction labda kama atafanya widal titration test ebu nitumie kwenye pm majibu ya mwisho!
 
Shida inaweza kuwa hujaondoa chanzo cha typhoid, i. e maji, chakula.... Ukawa unatibu then unapata reinfection
 
Shida inaweza kuwa hujaondoa chanzo cha typhoid, i. e maji, chakula.... Ukawa unatibu then unapata reinfection
Utakuwa Afisa Afya Mazingira.

Maana ulivyojibu ndio namna unawexa tofsutisha kada yenu na kada zinginr za afya. Hongera sana kwa majibu mazuri
 
Back
Top Bottom