Yah ni ngumu kumesa, especially miaka ya mwanzoni wazazi walikua wakilia kabisa na kudai hao ni watoto wao...baadae wakaweka system za mikataba, wanawake wanaandaliwa miezi kadhaa kabla ya kupandikizwa....pesa ni nzuri ingawa inategemea nchi na nchi..... kati ya dola laki 100,000 hadi 150,000.Duuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
Bila mkwanja hapo asingekubali,tajiri unamfanyiaje hisaniDuuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
Surrogate wanalipwa shosti...sio bure bureDuuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
mtoto akija kukua na kujua huo mchezo si atakimbia kwa mama yake ya kwanza!!?Duuuuh noma sana,nilidhani kafanya hivyo ili kulinda figure kumbe ana matatizo?
Pole zake.
Huyo mwanamke aliyejitolea ana moyo sana,kumzalia mtu mwingine mtoto ni ngumu kumesa.....
Nina hakika pesa imetembea,kama sivyo basi huyo mama ana moyo wa kipekee!
duu hapo una zungumzia Tshs 200,000,000-300,000,000 na kwa india ni 24,000,000-140,000,000 kibongo bongo kuzipata hizo,utaishia yu kufa bila mtotoYah ni ngumu kumesa, especially miaka ya mwanzoni wazazi walikua wakilia kabisa na kudai hao ni watoto wao...baadae wakaweka system za mikataba, wanawake wanaandaliwa miezi kadhaa kabla ya kupandikizwa....pesa ni nzuri ingawa inategemea nchi na nchi..... kati ya dola laki 100,000 hadi 150,000.
India womb for rent ni cheap $12,000 to $70,000....Kwingine wanahakikisha mwanamke anapozaa tu ananyang'anywa na asimuone kabisaaa na wala hajaui mtoto kapelekwa wapi.
Sikiliza,kuna aina nyingi za ugumba.....I guess wewe huishi kwenye sayari hii so hujui wenzio huku duniani wanavyozitoa mimba hovyo na wasipofanikiwa kuzitoa basi huvitumbukiza vichanga chooni..ukipata nafasi uje ututembelee duniani ushuhudie mauza uza ya wanawake wenzio
Hapana,kumbuka Tyra hajapenda hili.mtoto akija kukua na kujua huo mchezo si atakimbia kwa mama yake ya kwanza!!?
Uwiiiiiiiii hivi Tanzania ipo hii? Na ni shilingi ngapi?Yah ni ngumu kumesa, especially miaka ya mwanzoni wazazi walikua wakilia kabisa na kudai hao ni watoto wao...baadae wakaweka system za mikataba, wanawake wanaandaliwa miezi kadhaa kabla ya kupandikizwa....pesa ni nzuri ingawa inategemea nchi na nchi..... kati ya dola laki 100,000 hadi 150,000.
India womb for rent ni cheap $12,000 to $70,000....Kwingine wanahakikisha mwanamke anapozaa tu ananyang'anywa na asimuone kabisaaa na wala hajaui mtoto kapelekwa wapi.
hapa hakuna, au ipo ila wanaweza fanya kwa bei ya kulaliwa sana....si unajua wabongo kwa umimi katika maswala ya fedha. Ila sidhani kama ipo hiyo....inahitaji system set up, govt policy nadhani na sheria kuhusu all four parties involved, hiyo clinic, mteja, mtoto, na huyo surrogate mother......sababu zikiibuka dispute hapa.....imagine mtoto wa mjini wa kike kafanya kwa hiari then wamjaze maneno mtaatni..aibuke anataka mabilion kujituliza emotions distress hahaha...Uwiiiiiiiii hivi Tanzania ipo hii? Na ni shilingi ngapi?
Sidhani kama itakuwepo,hadi nimepata hamu ya hayo mahela....
Ningekuwa mambele huko ningezalia watu wawili basi narudi bongo kula maisha!
ππππ
duh madada wa sikuhizi jinsi wanavyojishughulisha! natazama tu miradi , safari zao nje, manyumba, mashamba na magari wanayomiliki nahisi wanao uwezo...ila kupata reliable clinic na pia ni process inayohitaji patiency....maana ni try and error issue, maombi piaduu hapo una zungumzia Tshs 200,000,000-300,000,000 na kwa india ni 24,000,000-140,000,000 kibongo bongo kuzipata hizo,utaishia yu kufa bila mtoto
Mungu wa ajabu sana,wanasahau bond kati ya huyo mama na mtoto haiwezi kutenganishwa na pesa...Yah ni ngumu kumesa, especially miaka ya mwanzoni wazazi walikua wakilia kabisa na kudai hao ni watoto wao...baadae wakaweka system za mikataba, wanawake wanaandaliwa miezi kadhaa kabla ya kupandikizwa....pesa ni nzuri ingawa inategemea nchi na nchi..... kati ya dola laki 100,000 hadi 150,000.
India womb for rent ni cheap $12,000 to $70,000....Kwingine wanahakikisha mwanamke anapozaa tu ananyang'anywa na asimuone kabisaaa na wala hajaui mtoto kapelekwa wapi.