mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
- Thread starter
- #61
Hata hivyo mume ndio camera man hapo, lazima pozi litokelezee. Pia cosmetics zinamlinda sana huyu dada, kuna picha imeondolewa hapa akiwa make up free......nadhani huwa hana kope huyu dada....zinakuwaga enhanced namna fulani wanajua wenyewe.huyu demu ana macho mazuriiii