Tyra Banks apata mtoto kwa kubebewa mimba

Tyra Banks apata mtoto kwa kubebewa mimba

huyu demu ana macho mazuriiii
Hata hivyo mume ndio camera man hapo, lazima pozi litokelezee. Pia cosmetics zinamlinda sana huyu dada, kuna picha imeondolewa hapa akiwa make up free......nadhani huwa hana kope huyu dada....zinakuwaga enhanced namna fulani wanajua wenyewe.
 
Pole zake kwa matatizo, pia hongera kwa kupata mtoto
Hapo mtoto atafanana na nani sasa, Tyra na mmewe au mama aliemzaa?
 
Pole zake kwa matatizo, pia hongera kwa kupata mtoto
Hapo mtoto atafanana na nani sasa, Tyra na mmewe au mama aliemzaa?
Mtoto ana DNA za Tyra na mumewe (as long as yai lilikua la Tyra na mbegu za mume) kwahiyo sura itategemea strong genes from either parent...surrogate hachangii kitu kwenye DNA zinazo mtengeneza mtoto...Kumbuka kuwa DNA ndio building blocks za ujenzi wa kiumbe chochote, na zipo kwenye kiini cha yai na mbegu ya kiume, zinapokuta nakuungana vile viini (nucleaus) kwa uwezo wa mungu ndio zinaanza kugawanyika into cells, kiumbe kinakua na kufanya mtoto kamili. Surrogate anachangia menu kupitia mfumo wa damu tu nadhani
 
upload_2016-3-3_13-17-19.png
 
Huyo Dada mie nampendaaa kipindi chake nilikuwaka sikikosi
 
Back
Top Bottom