Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Hello,
Wakuu nipo road nimepata changamoto ya tyre nikapata mdau akanipa tyre 265/65R17 nimefunga kulia kwa mbele gari yangu ni 2WD wakati matairi yote matatu ni 225/65R17 na bado nina 100Km mbele nifike destination yangu,
Madhara gani naweza kuyapata?