Kariakoo umezurura? Au ishi na Dunlop.Mtihani sana hii tyre brand ya south Africa.
Inakuwa adimu sana.
Mtihani sana hii tyre brand ya south Africa.
Inakuwa adimu sana.
Tanzania ni nchi ngumu sanaa kupata genuine products...imejaa fake products... tires za sample hiyo ukikosa Arusha szan kama kuna anaza place...
Ila huko sidhani kama kuna tyres za TZS 165,000!Inaonekana 'GOODYEAR' wana branch/agent kabisa hapa Tz... yupo Masaki Dar es salaam. Ila cha ajabu hajaweka contact/mawasiliano yoyote, na kwenye social media hayupo! Sa sijuwi kwa wateja walio nje na Dar wanampataje kimawasiliano?!!
Nchi ngumu sana hii. RO7 ZA MGOS
View attachment 3122172
Dah uhakika ni kwa wauza tyre za mtumba tu! Madukani sahizi ni mwendo wa Sailun, Durun, Ling long, Goodride, Triangle nk. Tyre ukinunua set ya 4 ukafunga ikiiisha miezi 6 hazijaota vijipu ubavuni unamshukuru munguš¤£.Wakuu,
Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE?
Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna!
Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear.
Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu.
Dah uhakika ni kwa wauza tyre za mtumba tu! Madukani sahizi ni mwendo wa Sailun, Durun, Ling long, Goodride, Triangle nk. Tyre ukinunua set ya 4 ukafunga ikiiisha miezi 6 hazijaota vijipu ubavuni unamshukuru munguš¤£.
Mimi kuepukana na dhahama za mchaina nimeona nidili na wanaouza rim wale wanakuwaga na miguu ya mitumba from genuine brands haza za kijapani zile kama bridgestone, yokohama au Dunlop. Ukibahatika ukapata Pirelli au Michelin ukafunga unasahau kabisa.
Tarehe angalia ya karibuni angalau mwaka toka itengenezwe you must be good to go.