Uko sahihi. Mie tokea nimeweka mwaka Jana, nimeenda Singida, nikaenda Kilimanjaro, nikarudi Tena Mwanza, achilia mbali hizi route za Moro.
Na bado zipo kwenye warranty, service free kama ni puncture au wanaweza kukubadilishia kama uharibifu ni Mkubwa ( unalipia ziada ya 10,000/- kama insurance). Tyre zao ziko vizuri sana.
Jamaa wengine niliofikiri watakua nazo naona hawana Goodyear.
nastyres.co.tz
Ntajaribu kupata mawasiliano ya ofisi za Goodyear Dar es salaam nikupatie nikitulia. Ntaziweka hapa hapa