Dunlop ya dukani ni laini sana af threads zake zinawahi kuisha.Niko mkoani. Nimechecki tyre dealers kadhaa wa k/koo... hawana hiyo brand.
Dunlop niliidrop muda sana , sihitaji kuirudia.
Napendelea sana kuishi na GoodYear.
Yep, out of stock!
Dunlop ya dukani ni laini sana af threads zake zinawahi kuisha.
Pole, kama hapo umekosa mtihani kidogo.
Niliinunua hapo Goodyear December 2023. Kwa size ya tyre zangu bei ya tyre moja ilikua 387,000 Kwa mchanganuo ufuatao, tyre 365,000, valves 2,000, wheel alignment/balance 10,000 na warranty kama 10,000 ila unapewa wese la 60k (voucher unaenda kuwekewa petrol station za Engen)
View attachment 3122326
Hahaha hizo za ki south ni mtori, nilishawahi tumia ila ndani ya mwaka inakuwa imeisha kabisa.Dunlop ni kama mchina anazifyatua. Kuna hizi Dunlop by Sumitomo (eti ni South Africa) ni fekero kabisa. Kwenye sidewall wameweka manufacture year pekee, details zingine i.e Load index; Speed rating, temperature rating, hakuna! 😀
Hiyo ni AutoXpress ya maeneo gani?
Masaki, lakini kama wamesema out of stock inamaana hawana kwenye vituo vyao vyote. Makao makuu yapo barabara ya kuelekea Uwanja wa Ndege kama sikosei.
Yes mkuu. Nami ndo hicho nilichogundua, kwamba kwenye website kama product inaonesha 'out of stock' basi ni branches zao zote hawana hiyo bidhaa.
Ni kweli ukitaka genuine products agiza mwenyewe nje, hapa tz mchina tu kila kituTanzania ni nchi ngumu sanaa kupata genuine products...imejaa fake products... tires za sample hiyo ukikosa Arusha szan kama kuna anaza place...
Ni lazima iwe Goodyear? Hawana aina nyingine unayoweza kutumia kama mbadala?
Ofisi za wale Goodyear nao hawana kwenye stock Yao? Au uhitaji ni Mdogo sana?
Goodride mchina huyo hafaiJaribu kuwacheki hawa AME tyres Kariakoo, huwa wanakua na Goodride
0714 646 771
Uko sahihi. Mie tokea nimeweka mwaka Jana, nimeenda Singida, nikaenda Kilimanjaro, nikarudi Tena Mwanza, achilia mbali hizi route za Moro.Kwakweli nilishatumia tyre aina nyingi sana (hizi midrange brands), Ila nilipohamia Goodyear nilipata experience tofauti kabisa ya kurizisha. Sitamani kuishi nje ya Goodyear. Ni mtu wa safari ndefu mara kwa mara... 900+ KM twice a month.
Ofisi za GOODYEAR Tz naona zipo Masaki DAR (by Google). Lakini hawajaweka contact yoyote ya kuwasiliana nao. So inalazimu mtu aende physically, nami niko nje ya Dar.
Ni kweli ukitaka genuine products agiza mwenyewe nje, hapa tz mchina tu kila kitu
Uko sahihi. Mie tokea nimeweka mwaka Jana, nimeenda Singida, nikaenda Kilimanjaro, nikarudi Tena Mwanza, achilia mbali hizi route za Moro.
Na bado zipo kwenye warranty, service free kama ni puncture au wanaweza kukubadilishia kama uharibifu ni Mkubwa ( unalipia ziada ya 10,000/- kama insurance). Tyre zao ziko vizuri sana.
Jamaa wengine niliofikiri watakua nazo naona hawana Goodyear.
Ntajaribu kupata mawasiliano ya ofisi za Goodyear Dar es salaam nikupatie nikitulia. Ntaziweka hapa hapa
Nimekupa namba ya wahindi hao wanauza hizo brand nyingine zisizo za kichina, cheki nao. Wanaitwa BRAND TYRE SHOPPEThanks mkuu Sajo.
Goodride ni mchina huyo. Nahitaji GOODYEAR ya Madiba.