Tyre zipi angalau ziko imara

Tyre zipi angalau ziko imara

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wasalaam.

Nilinunua tyre kama mwezi sasa aina ya good ride za mchina mi mpya lakini nashangaa imevimba hata mwez haijamaliza. Wapi nitapata angalau hata kam ni za mchina ambazo unaweza kupiga nazo mwaka na kitu kwa trip za mjini na safari chache kipindi cha sikukuuuu
 
Wasalaam. Nilinunua tyre kama mwez sasa aina ya good ride za mchina mi mpya lakini nashangaa imevimba hata mwez haijamaliza. Wapi nitapata angalau hata kam ni za mchina ambazo unaweza kupiga nazo mwaka na kitu kwa trip za mjini na safari chache kipindi cha sikukuuuu
Zimefimba zote au moja mkuu?
 
Wasalaam.

Nilinunua tyre kama mwezi sasa aina ya good ride za mchina mi mpya lakini nashangaa imevimba hata mwez haijamaliza. Wapi nitapata angalau hata kam ni za mchina ambazo unaweza kupiga nazo mwaka na kitu kwa trip za mjini na safari chache kipindi cha sikukuuuu
usisikilize maneno ya watu,vitu vys wachina wenyewe hakunaga feki,,nunua tairi,,linglong,,,hutajuta mkuu...
 
Wasalaam.

Nilinunua tyre kama mwezi sasa aina ya good ride za mchina mi mpya lakini nashangaa imevimba hata mwez haijamaliza. Wapi nitapata angalau hata kam ni za mchina ambazo unaweza kupiga nazo mwaka na kitu kwa trip za mjini na safari chache kipindi cha sikukuuuu
Hata kama ni za kichina mwezi mmoja si kawaida kuna kitu hapo, labda wauzaji wamekufanyia uhuni tairi za zamani sana.
 
Hapo iko namna, mimi hizo GOODRIDE ndo tairi zangu ninazotumia, nina kama wiki 2 toka nibadilishe tairi zangu za Goodride ambazo nilifunga 2018 mwishoni na zilikuwa bado zinadai. Halafu mimi niko huku chaka kasulu.
 
Hata kama ni za kichina mwezi mmoja si kawaida kuna kitu hapo, labda wauzaji wamekufanyia uhuni tairi za zamani sana.

Na mimi wazo langu lilikuwa hilo
Kama zina mwisho wa matumizi na anaweza kuzisoma kwenye tairi basi na aangalie
IMG_3388.jpg
 
Na mimi wazo langu lilikuwa hilo
Kama zina mwisho wa matumizi na anaweza kuzisoma kwenye tairi basi na aangalie View attachment 2029737
Mkuu huu mchoro wa gurudumu unanikumbusha Veta somo la matairi miaka.

Ujue wauzaji wengi wa magurudumu ni wahuni sana tena wakijua haufahamu chochote juu ya vigezo, ubora na mwaka wa matengezo wa gurudumu ndio hukulalia kabsaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmh hizo itakuwa sio goodride..pengine kuna kiwanda buguruni..goodride ziko fresh sana
 
Kwa tire za Mchina Goodride ndio kisu. Labda uhamie kwa Mhindi tafuta Tire za Apollo au JK Brand ingawa bei iko juu kidogo.
 
Back
Top Bottom