RANDOMERORA
Member
- Feb 22, 2016
- 68
- 22
Muulizaji maelezo yako hayajajitosheleza kabisa. Kupata jibu muafaka inabidi utuambie mwaka wa gari na size ya rims
Haya nimekupatia ukubwa ma matairi kwa rims tofauti
- 16 inch wheels: 215/75 R16
- 17 inch wheels: 235/65 R17
- 18 inch wheels: 235/60 R18
- 19 inch wheels: 235/55 R19
- 20 inch wheels: 275/40 R20
Tunarudia kule kule kwa muulizaji swali la kwanza la matairi,maelezo hayajajitosheleza kabisa. Gari ya mwaka gani ?engine ipi ? ni 4-speed automatic au 5-speed manual ?naomba pia mwenye kujua .mimi ninataka kununua gia box ya suzuki kei but dukani nimeambiwa hiyo gia box ya waya ngapi? 7 .au 6 .3 .2? nimeshindwa kumjibu mwenye duka..sasa naomba wajuvi mwenye kujua gia box y suzuki kei inatumia waya ngapi? mimi si mtaalam w mambo haya najua kuendesha tu gari..na fundi yupo mbali..shukran
Karibu sana mkuu.nashkuru mkuu nitalifanyia kazi hilo