Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Boxer mzuri ni kua na mapambano mengi? Mkuu unajua boxing kweli au unataka tuvute muda wa futari?
 
Ok, hata kama umepigwa 25 umeshinda 10 jumla umepanda ulingoni mara 35 wewe ni bondia mzuri?
Mike Tyson amepigana mapambano 56
Ameshinda 50 kapoteza 6.
Katika ayo mapambano 50 aliyoshinda 44 Ameshinda kwa K.O
Tumpe heshima Yake huyu mwamba
 
Mike Tyson amepigana mapambano 56
Ameshinda 50 kapoteza 6.
Katika ayo mapambano 50 aliyoshinda 44 Ameshinda kwa K.O
Tumpe heshima Yake huyu mwamba
Hapo nilikua naijibu hoja ya mdau kudai wingi wa mapambano ni kipimo cha bondia bora.

Heshima yake tunampa. Ila huyu siyo kielelezo cha bondia bora duniani, tofauti na watu wengi wanavyodai, na ndiyo ninachosema hapa. Kwamba Tyson hawezi kutumiwa kama reference ya bondia bora.
 
Embu tuambie ni nani kipimo cha bondia bora ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda mnavojibishana na mwezio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha

[emoji86][emoji23][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikumfuatilia sana Mike,lakini juzi nilikuwa nilikuwa mini docu-series juu ya pambano lake na Evander Holyfield jamaa - Evander- alikuwa vizuri mno kuliko Tyson
 
Samahani wakuu, ni mgeni ktk huu mchezo ila naupenda na ndio nafuatilia kuujua vizuri. Naombeni mnijuze kitu. Wanaposema BONDIA HEAVY WEIGHT huwa wanaangalia vigezo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umeweka updates nyingine kwa kutumia hasira mkuu.
Jifunze kukabiliana na challenges.

My conclusion is that maybe you have personal issues with Tyson,
maybe chuki binafsi au ni wivu tu.

Huyo legendary alishapita na mambo yake, tunategemea pambano lake mwaka huu na Evander Holyfield miaka 23 baada ya pambano lao 1997.

Litakuwa pambano la burudani tu kati ya Holyfield 57 years na Tyson 53 years.
 
Samahani wakuu, ni mgeni ktk huu mchezo ila naupenda na ndio nafuatilia kuujua vizuri. Naombeni mnijuze kitu. Wanaposema BONDIA HEAVY WEIGHT huwa wanaangalia vigezo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kigezo hua ni uzito.

Mara nyingi anayeanzia kilo 90 na kuendelea anakua na sifa za kua heavyweight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…