Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
- Thread starter
- #421
Kwa ukongwe wako na conclusion uliyokuja nayo hata hamuendani. Conclusion? Nina chuki, ila hauonyeshi kivipi.Umeweka updates nyingine kwa kutumia hasira mkuu.
Jifunze kukabiliana na challenges.
My conclusion is that maybe you have personal issues with Tyson,
maybe chuki binafsi au ni wivu tu.
Huyo legendary alishapita na mambo yake, tunategemea pambano lake mwaka huu na Evander Holyfield miaka 23 baada ya pambano lao 1997.
Litakuwa pambano la burudani tu kati ya Holyfield 57 years na Tyson 53 years.
Pengine ulitakiwa kusema nina chuki kwakua nimeandika uongo au nimeongeza chumvi. Lakini conclusion yako wewe? Ni nina chuki. Kisa nimeandika ukweli?
My first time knowing boxing ilikua najua Tyson = boxing nothing less. Now watu wengi mmestuck hapo hamuamini mkiambiwa alimkimbia Foreman, hamuamini kama Don King alimbeba, hamuamini kua alipigana na wazee na journeymen.
Conclusion yako ni nyepesi kweli kweli. Holyfield na Tyson wanaweza wakakutana lakini kamsikilize na Lights Out Toney kasema nini juu ya hawa wawili kurudi.