Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Mbona hueleweki mzee? Holmes mzee lakini hapo hapo unalalamika kwanini hakumuingia Foreman? Kwani Foreman kizazi chake? Angempiga pia Foreman ungesema hivyo hivyo kwamba kampiga mzee!
 
Basi akiwa na chuki na mtu atatafuta record anazojua yeye kumuua anayemchukia. Check hapo chini kawaka picha za Tyson tu akiwa amepigwa. Nondo za Tyson No
Kabisa mkuu
Mimi nilidhani mimi ndio sijui,imagine mtu huyu anataka kubishana na mamilioni ya watu wanaoijua boxing ambao wanadai mike alikua moto wa kuotea mbali,iron mike inahitaji heshima yake.
 
Ni kwasababu umaarufu wa boxing umepungua sio kama zamani.
 
Huna cha kunielekeza kwenye boxing wewe mi naicheza wewe unaiandika yaani umri huu uanze kunifundisha mambo ya out boxer?
 
Mbona hueleweki mzee? Holmes mzee lakini hapo hapo unalalamika kwanini hakumuingia Foreman? Kwani Foreman kizazi chake? Angempiga pia Foreman ungesema hivyo hivyo kwamba kampiga mzee!
Yani anataka kumfananisha Foreman na Tyson? Foreman atapapambana vipi na Tyson wakati wakati Tyson yupo kwenye ubora wake kina ali na Foreman wameshajichokea.
 
kila anaebebwa anajua mkuu.
 
Hata Mike alimlalamikia refarii jamaa anashika sana na vichwa vya kimya kimya anapiga ingia YouTube andika "Holyfield conceive headbutts and blows vs Tyson"
 
Chief naheshimu sana mawazo yako,lakini huu uchambuzi huko biased sana, ingawa huyo unayemsema yuko overrated yupo kwenye top five ya greatest heavyweight boxer of all the time.
 
Ni kwasababu umaarufu wa boxing umepungua sio kama zamani
Pamoja na umaarufu wa ndondi kupungua laki performance pia na nyota vinamata maana kipindi hicho hicho ndondi ipo kwenye peak still watu walikuwa bize na Mike tu!
 
Tyson kama bondia yoyote alikuwa bondia mzuri sana kwa wakati wake,na wakati ulipopita alipitwa na wakati,na akapigwa kwani kuna walioibuka wazuri zaidi yake.Hata hawa unaowaona leo iko siku wataibuka wanaopigana vizuri zaidi yao na watapigwa,boxers are training everyday and they are attaining different fighting skills inorder to win, kwahiyo cha muhimu ni kuwa kila bondia anakuwa amejijengea heshima kwa wakati wake,ila kwangu mimi Tyson was a good fighter of the season.
 
Unakwama wap mbona Mimi nimemwelewa jamaa,Yaan Tyson angekuwa na skills kama Maywether asingepigwa kwa KO
 
Tyson alibebwa sana na media, alipigwa kipigo cha aibu sana na douglas "buster"
 
Kwani kipimo cha ubora wa bondia ni idadi ya mechi za ushindi au ni ushindi unapatikana raundi ya ngapi? Ndio yale yale ya kuangalia eti mchezaji fulani hafungi mabao viwanja vya ugenini; lakini kwa ujumla wake ni mfungaji wa mabao mengi katika ligi!
 
Mkuu unayo softcopy ya kitabu cha huyu mbabe walau ufanye kutuwekea hapa ikikupendeza.
Ni hard copy. Ndiyo nakisoma wakati huu. Infact nakisoma tena mara ya pili.
Alikulia Mazingira magumu sana. Hana uhakika na baba yake. Akiwa na miaka sana alitumika kwenye wizi majumbani. Udogo wake ulitumika kupenya sehemu finyu.
 
Unakwama wap mbona Mimi nimemwelewa jamaa,Yaan Tyson angekuwa na skills kama Maywether asingepigwa kwa KO
Subiri siku atakapobwagwa,hakuna bondia wa milele,na huwezi kumlinganisha Mayweather na Tyson ni watu wa uzito tofauti sana,huyo Mayweather wako hata leo ukimpandisha ulingoni na Tyson atavurugwa mpaka utabaki unashangaa ndugu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…