Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Daaa, hivi kwenye ngumi Kuna kibebwa kweli na ukizingatia alikuwa anashinda kwa KO tena mapema kabisa, au unataka kusema mabondia wote aliowapiga walikuwa wabovu? hebu jiunge na boxing nawewe wakubebe mkuu.
 
Baba haya sema wewe Ali alikaa nje ya ulingo kwa muda gani na aliporudi akakutana na Foreman na Foreman akatulizwa.
 
Kwa hii hoja yako ni inamaanisha media zilifaulu pia kumtangaza jamaa.

Kama nilivyoandika mwanzo.
Soo katika wapiganaj wooooote miaka na miaka n yeye tu kafaa kutanganzwa katangazika sio ???

Kama ilivyo kwa Pele na Mpira , John Cena na WWE ndivyo ilivyo kwa Mike Tyson na masumbwi ...hakuna na hatokuja tokea kama huyo
 
Wewe na wewe unaanza komedi. Kwahiyo losses zote za Tyson zimetoka kwa Evander? Hao mbwa aliowapiga mtaje aliyekua kwenye prime kama yeye
 
Soo katika wapiganaj wooooote miaka na miaka n yeye tu kafaa kutanganzwa katangazika sio ???

Kama ilivyo kwa Pele na Mpira , John Cena na WWE ndivyo ilivyo kwa Mike Tyson na masumbwi ...hakuna na hatokuja tokea kama huyo
Acha ubishi. Tanzania kabla ya Tyson bondia gani mwingine alikua anajulikana anayetokea nje ya Afrika?
 
Hata Mike alimlalamikia refarii jamaa anashika sana na vichwa vya kimya kimya anapiga ingia YouTube andika "Holyfield conceive headbutts and blows vs Tyson"
Mi nililiona pambano live sikuhadithiwa
 
Subiri siku atakapobwagwa,hakuna bondia wa milele,na huwezi kumlinganisha Mayweather na Tyson ni watu wa uzito tofauti sana,huyo Mayweather wako hata leo ukimpandisha ulingoni na Tyson atavurugwa mpaka utabaki unashangaa ndugu...
Mzee kwenye boxing kuna kitu kinaitwa pound for pound, kwamba kwa skills na nguvu zako unatazamiwa ukienda weight ya juu yako utaperform vipi.

Na Mayweather ni best hata kwenye pound for pound.
 
Hujui ngumi wewe evander alikua anafanya headbutt lakini refaa alikuaa anakaa kimya...
 
Yani anataka kumfananisha foreman na tyson ? Foreman atapapambana vipi na tyson wakati wakati tyson yupo kwenye ubora wake kina ali na foreman wameshajichokea
Walishajichokea kivipi na wakati Foreman alikua na second return ambayo Tyson ndiyo akamjibu vile mwandishi?
 
Mbona hueleweki mzee? Holmes mzee lakini hapo hapo unalalamika kwanini hakumuingia Foreman? Kwani Foreman kizazi chake? Angempiga pia Foreman ungesema hivyo hivyo kwamba kampiga mzee!
We na we ubishi unazidi sasa angepigana vipi na Foreman ikiwa yeye Tyson alishamkwepa mbele ya hadhara?
 
Yani anataka kumfananisha foreman na tyson ? Foreman atapapambana vipi na tyson wakati wakati tyson yupo kwenye ubora wake kina ali na foreman wameshajichokea
So Foreman asipigane naye kajichokea? Safi. Na mbona alipigana na Holmes na Berbick ambao ni kizazi cha Foreman? Na akachukulia mikanda huko?
 
Chief naheshimu sana mawazo yako,lakini huu uchambuzi huko biased sana....ingawa huyo unayemsema yuko overrated yupo kwenye top five ya greatest heavyweight boxer of all the time.
Yupo hapo kwa ajili ya records. Je ni anastahili? Kama unafuatlia mpira, Zidane akisemwa ni kocha bora zaidi ya Wenger kwakua ana UEFA itakuingia akilini?
 
Chief naheshimu sana mawazo yako,lakini huu uchambuzi huko biased sana....ingawa huyo unayemsema yuko overrated yupo kwenye top five ya greatest heavyweight boxer of all the time.
Yupo hapo kwa ajili ya records. Je ni anastahili? Kama unafuatlia mpira, Zidane akisemwa ni kocha bora zaidi ya Wenger kwakua ana UEFA itskuingia akilini?
 
Boss mi sina cha kusema. Hata wewe kaangalie highlights za niliowataja kisha wafananishe na Tyson.
Uko sahihi kuamini unachokiamini ila usifosi kila mtu akubaliane nawe huwezi kumwambia eti amepotea kumiangalia Mike!
 
Huna cha kunielekeza kwenye boxing wewe mi naicheza wewe unaiandika yaani umri huu uanze kunifundisha mambo ya out boxer?
Sasa kama unajua hayo na unadai Wilder hashindi wewe hujui kitu. Mimi boxer siiandiki pekee. Nimeiishi. Maoni yako hayaonyeshi kama unajua boxing.
 
Acha ubishi. Tanzania kabla ya Tyson bondia gani mwingine alikua anajulikana anayetokea nje ya Afrika?
Hata mpaka wakati huu naandika hapa , huna zaid ya Tyson , hakuna anae mzidi au hata kulikaribia hili jina

Kwanini imekua hivyo? Ni kazi yake aliyo ifanya wakati yuko kwenye ubora wake.

Hao wenye majina wanajulikana na kikundi cha watu wachache wanao fuatialia masumbwi..nje ya hapo hakuna anae wajua

Muulize dada yako huku Tyson. Atakupa jibu.. Muulize kuhusu John Cena au pele atakupa jibu...majina anayajua haya japo hajawah angalia iwe mpira au mieleka.


Muulize kuhusu wilder Au AJ au Furry ...kama hata aliwa wasikia bahati mbaya

Again again, jina haliji kama zawadi, zinaletwa na kazi yeko iliyo tukuka full stop

Bibi au babu yako wanajua kuhusu Cristiano Ronaldo...wanaweza wasijue n nani na anafanya nn ila wanatambua yupo... How ??ni kazi anayofanya...same thing goes to Mike Tyson
 
Huko kujulikana ndiyo nikasema.

Alitegemea promoters, MEDIA, has been na journeymen

Watu mnajitia kichwa ngumu ila mtaelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…