Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa fury aombe mechi na joshuaUna bando lakini?
Ya kazi gani? Joshua sio bingwa tenaSasa fury aombe mechi na joshua
Joshua anatakiwa amalizane kwanza na A. Ruiz arudishe mikanda yake. Ama sivyo atakua anakimbiwa. Maana alivyokua na mikanda alikua anawakimbia kimbia wenzake.Sasa fury aombe mechi na joshua
Hivi wakirudiana unadhan Joshua anaweza kumpiga A.Ruiz kweli?Joshua anatakiwa amalizane kwanza na A. Ruiz arudishe mikanda yake. Ama sivyo atakua anakimbiwa. Maana alivyokua na mikanda alikua anawakimbia kimbia wenzake.
By the way hem wajuv wa mambo mje, hivi AJ na Fury si wako na campuni moja udhamini mmoja so hawataweza kukaa kupigana wao kwa wao au nimechanganya desa. Nadhan niliona sehem.
Ruiz habari nyingine mkuu.huyu ni muuaji.aj atapigwa na wengine wote kina Tyson fury, wilder wote watakalishwa.chibonge hana maneno mengi zaidi ya masumbwi tuHivi wakirudiana unadhan Joshua anaweza kumpiga A.Ruiz kweli?
Joshua siku ile pumzi zilikata mapema alafu sio mvumilivu kuimili makonde
Sasa fury aombe mechi na joshua
Acha mihemko ndugu, ulikuwa wapi kumnadi hivi Ruiz kabla ya pambano la AJ? Pengine hata ulikuwa humjui[emoji3][emoji3], nimeanzisha thread kibao za Ngumi kabla ya mapambano sijakuona hata moja, baada ya matokeo ndo unaonekana halafu unajifanya unawajua sana[emoji2][emoji2][emoji2]. Wataalamu karibu wote wa masuala ya ngumi walishangazwa na matokeo ya pambano la AJ na Ruiz, maana kabla ya pambano karibu kila mtu alikuwa anajua AJ anashinda tena mapema tu kutokana na rekodi yake, so ni wazi ushindi wa Ruiz uliwashangaza wengi na kuwekwa kati ya one of the biggest upset of all time kwenye boxing, sasa cha ajabu mwenzangu na mimi unajifanya eti hukushangazwa na Ruiz kushinda, nyie ndo wachambuzi wa bongo mnaochambua baada ya matokeo[emoji1787][emoji1787]. Kuhusu Ruiz kumpiga Wilder or Fury kwa mtazamo wangu naona ni ngumu sana, kwa Wilder ili umpige inabidi uwe mtaalamu sana wa kukwepa ngumi (head movement ya ajabu), maana ile right hand ikikupata ni goodnight, je Ruiz ana uwezo wa kukwepa ngumi kama FURY?Jibu ni hapana. Na kwa upande wa Fury huyu ni mgumu zaidi kumpiga kutokana na style yake, anamove sana so Ruiz hatakuwa na nafasi sana ya kupiga ngumi kama alivyofanya kwa AJ, na hata akifanikiwa kumpiga ngumi chache hazitaweza kummaliza, kama Fury aliweza kuamka baada ya kudondoshwa na Bronzebomber 2 times je Ruiz ana kipi cha ziada?Ruiz habari nyingine mkuu.huyu ni muuaji.aj atapigwa na wengine wote kina Tyson fury, wilder wote watakalishwa.chibonge hana maneno mengi zaidi ya masumbwi tu
Hapana hawako pamoja, kama sikosei AJ yuko na DAZN, na Fury anapromotiwa sana na ESPN n' BT Sports. Sema hawapendi kuwapambanisha nafikiri kwavile wote ni waingereza, ila inaweza kutokea huko mbeleni kama Fury atafanikiwa kumpiga Wilder na AJ akishinda rematch dhidi ya RuizJoshua anatakiwa amalizane kwanza na A. Ruiz arudishe mikanda yake. Ama sivyo atakua anakimbiwa. Maana alivyokua na mikanda alikua anawakimbia kimbia wenzake.
By the way hem wajuv wa mambo mje, hivi AJ na Fury si wako na campuni moja udhamini mmoja so hawataweza kukaa kupigana wao kwa wao au nimechanganya desa. Nadhan niliona sehem.
Oooh ok. Hapo umenena vyema.Hapana hawako pamoja, kama sikosei AJ yuko na DAZN, na Fury anapromotiwa sana na ESPN n' BT Sports. Sema hawapendi kuwapambanisha nafikiri kwavile wote ni waingereza, ila inaweza kutokea huko mbeleni kama Fury atafanikiwa kumpiga Wilder na AJ akishinda remarch dhidi ya Ruiz
Sasa fury aombe mechi na joshua
wanamasumbwi wa maana wameisha, enzi za akina lenox lewis, mike tyson, matumla kwisha
Tofauti kubwa nnayoona wa sasa wako kimaslahi sana na kuogopa kupoteza mikanda yao wanayoshikilia. Wanachagua chagua wapigane na "bums" "bums" kulinda heshima. Wakati mashabiki kuna mechi wangependa sana kuziona. Ila eventually watapigana tu pamoja na dana dana zaoKwanini kila kitu cha zamani mnapenda kukisifu! Hata wachezaji wa mpira pia mnawasifu na kuwaponda wa sasa. Dah ila wabongo mnastaajabisha 😁😁😁 inamaana binadamu wa zamani walikuwa chuma na wa sasa boksi!!!!!!