Kila mtu na starehe yake mkuu,hata wewe unachokifuatilia kwa sasa si ajabu kuna watu hawakifuatilii na pia wanaweza kushangaa kuona wewe bado unakifuatilia,binadamu hatufanani.Kumbe bado kuna watu wana fatiria i michezo
Nina hamu ya kuiona hiyo Tyson Fury VS Strowman. Sijajua wata-adapt sheria zipi? Lakini Strowman sio wa kumkimbilia